1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wapambanaji

Amina Mjahid
21 Oktoba 2020

Ni wanawake takribani 500 ambao kati yao wapo wale waliokimbia mapigano dhidi ya waasi Kaskazini mwa Uganda. Walipata makazi katika mtaa wa 'Acholi Quarters' huko Kampala. Huko wanachimba kokoto ili kuendesha maisha yao ya kila siku. #kurunzi

https://p.dw.com/p/3kFMw