1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanapojitokeza kwenye uwanja wa fasihi

Fathiya Omar MMT17 Machi 2021

Fasihi ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa imeandikwa na Waswahili hasa wa maeneo ya pwani na mchango mkubwa ukitoka kwa wanaume..lakini sasa kutokana na mabadiliko wanawake nao wanaingia kwa kasi kwenye uwanja wa fasihi. Je ni kina nani hao waliamua kuchukua hatua hii na mchango wao ukoje? Sikiliza makala hii ya utamaduni na sanaa.

https://p.dw.com/p/3qjJi