1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanapoamua kuwalinda wanyama

Thelma Mwadzaya / MMT9 Novemba 2021

Huko nyuma kazi ya kuwalinda wanyama ilikuwa inafanywa zaidi na wanaume, labda kwa sababu ilionekana haiwafai wanawake na ilitakiwa kuwa na nguvu nyingi kuifanya. Lakini sasa mambo ni tofauti kwa kuwa hata wanawake wanajiingiza sasa kwenye shughuli hiyo. Ni akina nani hawa? Sikiliza makala haya ya Thelma Mwadzaya

https://p.dw.com/p/42mTz