1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanaopambana na uzito wa kupita kiasi kwa kunyanyua vyuma Togo

3 Januari 2022

Uzito wa kupita kiasi unawakumba watu na unazidi kuongezeka hasa miongoni mwa wanaofanya kazi ofisini na kukosa nafasi ya kutembea. Mjini Lome Togo, mkufunzi wa mazoezi ya kunyanyua vyuma Mercy Tchwalla anawapa kina mama wanaokabiliwa na tatizo hilo mafunzo na mazoezi ya namna ya kulikabili. Tazama kwenye #VijanaMubashara #77Asilimia

https://p.dw.com/p/4552u