1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanaojishughulisha na teknolojia na biashara Afrika

Harrison Kalunga Mwilima28 Agosti 2019

Makala ya Wanawake na Maendeleo safari hii inaangazia mpango wa wanawake wanaojishughulisha na teknolojia na biashara barani Afrika na kukujuza zaidi umuhimu wake kwa wanawake walioshiriki mradi uliofanyika katika mji mkuu wa Ujerumani Berlin unaofahamika kama 'Female Tech Businesses in Africa'. Mwandalizi wa makala hii kutoka Berlin ni Harrison Mwilima

https://p.dw.com/p/3ObpO