Wanawake wachimba kokoto Mtwara | Media Center | DW | 21.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanawake wachimba kokoto Mtwara

Idadi kubwa ya wanawake Tanzania wana mwamko wa kufanya kazi mbalimbali ili kujiingizia kipato bila kujali ugumu wa kazi hizo. Miongoni mwao ni akina mama waonaoponda mawe kwa ajili ya kutengeneza kokoto Mtwara.

Tazama vidio 02:59