1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wacheza mpira Dubai

9 Agosti 2019

Wanawake wanaocheza mchezo wa mpira wa miguu katika jamii za Kihafidhina wanakumbana na changamoto gani. Hebu yasikilize makala ya wanawake na Maendeleo yaliyoandaliwa naye Zainab Aziz ambapo analitupia jicho suala hilo.

https://p.dw.com/p/3NdOq