Utamaduni na sanaa inakupeleka Kaskazini mwa Afrika nchini Tunisia ikijikita kuwaangalia wanawake waliojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa Hip Hop katika nchi ambayo muziki wa aina hiyo umehodhiwa na wanaume. Nini kinawapa ushujaa wanawake hawa? Lakini pia sekta ya muziki huu inawatazamaje? Muandaji na msimulizi ni Saumu Mwasimba.