1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Uganda wajikita katika ufundi seremala

Grace Kabogo
26 Januari 2022

Duniani kote, ufundi useremala bila shaka ni kazi ambayo kwa kiasi kikubwa watu wengi hufikiri ni ya kiume. Nchini Uganda kuna ongezeko la wanawake ndani ya karakana za useremala na kubalidisha mfumo dume.

https://p.dw.com/p/46632