Wanawake Tanzania waandamana kupambana na huduma mbaya za Afya | Masuala ya Jamii | DW | 06.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Wanawake Tanzania waandamana kupambana na huduma mbaya za Afya

Nchini Tanzania asasi zisizokuwa za kiserikali zipatazo 18 zimeandaa jukwaa lililo la wazi kujadili na kupeana changamoto katika kupambana na unyanyasaji kijinsia na vifo vya akina mama na watoto.

.Jukwaa hilo lilianza na maandamano kutoka hospitali ya taifa ya Muhimbili hadi viwanja vya leaders club vilivyoko kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam Hawra shamte na ripoti kamili.

Mwandishi:Hawra Shamte

Mpitiaji:Jane Nyingi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com