Wanawake na wanafunzi waandamana kutaka amani Beni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wanawake na wanafunzi waandamana kutaka amani Beni

Wanafunzi wa shule za msingi pamoja na sekondari wamekusanyika kwenye ofisi ya Meya wa mji wa Beni nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wamesema wataendelea kubakia mahala hapo hadi rais Félix Tshisekedi atakapokwenda mjini humo. Wakati huohuo wanawake wa mji huo pia wameandamana kutaka amani

Tazama vidio 02:24