Wanawake na mazoezi ya mwili mjini Mogadishu | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wanawake na mazoezi ya mwili mjini Mogadishu

Kwenye mji mkuu wa Somalia, Mogadishu wanawake wanainukia kwa kushiriki mazoezi ya mwili na hata kunyanyua vyuma. Licha ya kuwepo ukosoaji kwenye jamii hiyo ya kihafidhina, wanawake hawakati tamaa.

Tazama vidio 01:54