1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za wanawake wa Kenya katika kulinda amani

Zainab Aziz
18 Novemba 2020

Makala ya Wanawake na Maendeleo wiki hii wiki inaangalia jinsi wanawake nchini Kenya wanavyochangia katika juhudi za kuleta na kudumisha amani nchini humo katika muktadha wa azimio la Umoja wa Mataifa namba 1325. Pia inazingatia mafanikio na changamoto. Je, hatua gani zitachukuliwa baada ya Umoja wa Mataifa kupitisha azimio la pili juu ya wanawake?

https://p.dw.com/p/3lVZk