Wanasheria Tanzania kufanya uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW | 23.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wanasheria Tanzania kufanya uchaguzi

Chama cha wanasheria wa Tanganyika TLS kimesema kuwa kitafanya uchaguzi kwa sheria zilizochapishwa katika gazeti la serikali lakini hakitazingatia vipengele vyote vinavyowagawa wanachama wake.

Sikiliza sauti 02:53

Ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dar

Hayo yamewekwa wazi na makamu wa rais wa chama hicho Godwin Simba Ngwilimi huku baadhi ya wanachama wakisema hizo ni dalili za serikali kuingilia uhuru wa chombo hicho kilichopo kwa mujibu wa sheria. 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com