Wananchi wa Arusha wajitokeza kwa wingi kupiga kura | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Wananchi wa Arusha wajitokeza kwa wingi kupiga kura

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa, amepiga kura yake nyumbani Monduli. Wakazi wa Arusha wameelezea kufurahia ulinzi katika vituo vya kupigia kura.

Sikiliza sauti 03:02

Ripoti ya Charles Ngereza kutoka Arusha

Mamia kwa mia ya watu walijihimu mapema kuwahi katika vituo vya kupiga kura katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi na kushuhudia kasoro za kawaida ambazo zilirekebishwa na wasimamizi wa vituo mbalimbali na hatimaye wapiga kura walianza zoezi kwa amani na utulivu.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com