Wanamuziki wa Ujerumani watoa burudani ya bure kwa wazee | Media Center | DW | 04.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanamuziki wa Ujerumani watoa burudani ya bure kwa wazee

Wakati janga la virusi vya corona likiwa limewanyima watoa burudani wengi nafasi ya kufanya mazoezi na kuburudisha, wanamuziki wa Deutsche Oper Berlin hapa Ujerumani wameamua kutoa mfululizo wa burudani ya muziki bure katika bustani ya nyumba hii ya kulea wazee.

Tazama vidio 01:10