1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati waandamana Berlin dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi

7 Oktoba 2019

Wanaharakati walioanza kupiga kambi mitaani mjini Berlin mwishoni mwa wiki iliyopita sasa wameanza kuziba barabara na kupiga kambi nje ya ofisi za serikali wakitaka uwajibikaji zaidi wa serikali kukabili athari za mabadiliko ya tabia nchi. Harrison Mwilima na mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3Qr6f