1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati wa amani Chad

18 Mei 2017

Wanaharakati vijana wa nchini Chad wanafanya kazi kwa pamoja ili kuwahamasisha vijana kufanya maandamano ya amani katika harakati za kupinga maonevu na ukandamizaji wa haki nchini mwao

https://p.dw.com/p/2dAAK