1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati Tanzania wapinga mila za kunyanyasa wanawake

Veronica Natalis26 Novemba 2020

Wanaharakati mkoani Shinyanga, Tanzania wanaonya kuwa, baadhi ya mila zinazoendelezwa huko zinachochea udhalilishaji wa wanawake. Miongoni ni ile inayohusisha kuoshwa mabinti kwa dawa za kienyeji ili wapate mvuto wa kuolewa.

https://p.dw.com/p/3lsCz