Wanaharakati Kenya wabwagwa uchaguzi mkuu | Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2017 | DW | 15.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

uchaguzi kenya

Wanaharakati Kenya wabwagwa uchaguzi mkuu

Katika uchaguzi huo zimeangushwa sura kongwe nyingi na kuleta nyingine mpya. Lakini pia wapo wanaharakati maarufu na vijana ambao watarajiwa kupenya kwenye kinyang'anyiro hicho lakini hawakufanikiwa.

Sikiliza sauti 03:22
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na Gacheke Gachihi

Mmoja wao ni mwanaharakati wa haki za binadamu, Gacheke Gachihi, ambaye aliwania nafasi za ubunge na kushindwa. Kipi hasa kiliwaangusha wagombea kama hawa? Isaac Gamba amezungumza na Gachihi akiwa jijini Nairobi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com