1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanafunzi warudi shule Tanzania baada ya miezi miwili

Sudi Mnette
1 Juni 2020

Maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu na wale wa sekondari walioko kidato cha sita nchini Tanzania wameanza rasmi masomo yao Jumatatu baada ya kuzuiwa kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na marufuku ya kukabiliana la janga la virusi vya corona. DW imezungumza na mwandishi habari Hawa Bihoga, Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/3d6bq