Wanafunzi wa Ujerumani na Uganda wabadilishana ujuzi wa ujasiriamali | Media Center | DW | 22.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanafunzi wa Ujerumani na Uganda wabadilishana ujuzi wa ujasiriamali

Zaidi ya wanafunzi 280 kutoka vyuo vikuu saba nchini Uganda wameshiriki katika maonyesho ya ubunifu ili kudhihirisha maarifa na ujuzi wa ujasiriamali walivyopokea kutoka kwa wenzao wa chuo kikuu cha Munich.Mwandishi wa DW Lubega Emmanuel alihudhuria sherehe ya kuhitimu kwa wanafunzi hao na kuandaa vidio hii.

Tazama vidio 03:06