1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanafunzi wa Afrika na faida ya DAAD

Sudi Mnette24 Agosti 2018

Katika kipindi cha Karibuni (25.08.2018) tunazungumza na wanafunzi tisa kutoka Chuo vyuo vikuu vya Afrika ambao wapo Ujerumani kwa mfuko wa maendeleo ya ufadhili wa wanafunzi na tafiti DAAD. Ambao wapo kwa mafunzo katika Chuo Kikuu cha Heidelberg.

https://p.dw.com/p/33guf