1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanachama wa CUF wakamatwa Dar

28 Septemba 2016

Polisi Dar es salaam inawashikilia wanachama wa CUF wapatao 22 kutoka Zanzibar kwa tuhuma za kutaka kufanya uhalifu katika makao makuu ya chama hicho. Walikutwa na zana za kujihami kama visu na mapanga.

https://p.dw.com/p/2QeDd
Simon Sirro, Mkuu wa Polisi Dar es Salaam
Simon Sirro, Mkuu wa Polisi Dar es SalaamPicha: DW/H.Bihoga

J3 27.09 Dar es Salaam: CUF - MP3-Stereo