1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wamasai wa Ngorongoro waathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi

Josephat Charo
18 Machi 2020

Ngorongoro miongoni mwa wilaya zinazounda mkoa wa Arusha uliopo kaskazini mwa Tanzania kwa asilimia 80 wakazi wake ni wafugaji. Kutokana na hali ya ukame kipindi cha msimu wa kiangazi, mifugo mingi hufa kwa sababu ya kukosa chakula. Sikiliza makala hii ya mtu na mazingira iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa Arusha, Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/3ZdEd