Wakulima na wafugaji wapigana Kenya
3 Februari 2017Matangazo
Hata hivyo kumekuwepo na madai mengine kwamba wanasiasa wamekuwa wakitumoa fursa hiyo kwa ajili ya kujiimarisha kisiasa wakati ambapo nchi hiyo inaelekea kwenye uchaguzi mkuu. DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa aliyeko nchini Kenya, Baron Shitemi, anayezungumzia hali hiyo.