Wakimbizi waliosahaulika: Warohingya waanzisha makaazi Bangladesh | Mada zote | DW | 16.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wakimbizi waliosahaulika: Warohingya waanzisha makaazi Bangladesh

Zaidi ya Warohingya 70,000 wamekimbia Myanmar na kwenda Bangladesh tangu kuzuka kwa machafuko mwezi Octoba. Takriban nusu ya Milioni ya wakimbizi wako Bangladesh. Wanaishi katika kambi zilizofurika kama ya Kutupalong