Wakimbizi wa Syria Wajiunganisha na jamii ya Ujerumani | Media Center | DW | 05.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wakimbizi wa Syria Wajiunganisha na jamii ya Ujerumani

Mataifa mengi ya Ulaya hayapendi kupokea wakimbizi. Lakini sera ya "Milango wazi" ya Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, ilisababisha wengi kuingia nchini humo. Baadhi yao sasa wanasema, ni jambo jema kurejesha fadhila. Miongoni mwao ni mkimbizi huyu Moneer, anafanya nini? Tizama Video hii.

Tazama vidio 01:20
Sasa moja kwa moja
dakika (0)