Wakimbizi wa Mashariki ya Kongo wakimbilia Rwanda | Matukio ya Afrika | DW | 02.05.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Wakimbizi wa Mashariki ya Kongo wakimbilia Rwanda

Wakimbizi wanaokimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaendelea kuwasili nchini Rwanda.

Wananchi wa Kongo wakimbilia Rwanda

Wananchi wa Kongo wakimbilia Rwanda

Wizara ya usimamizi wa majanga nchini Rwanda inaonya kuwa ikiwa hali hiyo itazidi, basi serikali itahitaji usaidizi wa kuweza kuwahudumia wakimbizi hao. Mwandishi wetu mjini Kigali Sylvanus Karemera ana ripoti kamili.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sylvanus Karemera (Kigali)

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada