Wakimbizi wa kiafrika wazamqa katika bahari ya kati | Habari za Ulimwengu | DW | 30.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wakimbizi wa kiafrika wazamqa katika bahari ya kati

Valetta:

Watu wasiopungua 11wamekufa meli yao iliyosheheni wakimbizi ilipozama kati ya Libya na Malta.Abiria 20 wameokolewa na mashua ya wavuvi ya Malta .Habari hizo zimetangazwa na jeshi la kisiwa hicho cha bahari ya kati.Wahamiaji hao wanasemekana wametokea Ethiopia, Somalia na Nigeria.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com