1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wa DR Kongo wazuiliwa kuingia Malawi

Prosper, Kwigize22 Novemba 2019

Zaidi ya wakimbizi 100 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekwama katika eneo la Malawi linalopakana na Tanzania baada ya jaribio lao la kuvuka mpaka huobaada ya kuzuiliwa na Idara ya Uhamiaji ya Malawi.

https://p.dw.com/p/3TWwT