Wakimbizi wa Burundi wamiminika Rwanda | Matukio ya Afrika | DW | 08.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Wakimbizi wa Burundi wamiminika Rwanda

Rwanda imewapokea kwa wakati mmoja wakimbizi wengine wa Burundi zaidi ya 3000. Wakimbizi hao waliovuka mpaka kutoka eneo la Kamanyola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanasema wamekimbia kwa ajili ya usalama wao.

Sikiliza sauti 02:24

Ripoti ya Sylivanus Karemera

            

Sauti na Vidio Kuhusu Mada