Wakimbizi Berlin warudisha fadhila kwa kuwalisha wenyeji | Media Center | DW | 07.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wakimbizi Berlin warudisha fadhila kwa kuwalisha wenyeji

Kurunzi Ujerumani leo ipo mjini Berlin ambapo wakimbizi waliopewa hifadhi wanarudisha fadhila kwa jamii ya Wajerumani kwa kuandaa chakula na kuwalisha bure watu wasio na makaazi. Tizama vidio yake Harrison Mwilima kisha tupe maoni yako. #Kurunzi Ujerumani 07.05.2020.

Tazama vidio 03:11