1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakfu wa Maalim Seif na umuhimu wake

Salma Said8 Desemba 2021

Makala ya Kinagaubaga leo inaangazia wakfu wa Maalim Seif uliozinduliwa ili kukuza yale ambayo marehemu Maalim Seif ambaye aliaga dunia akiwa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar aliyasimamia alipokuwa hai. Ni wakfu unaotoa nafasi ya mazungumzo na majadiliano ya fikra tofauti katika jamii. Mgeni wetu ni Ismail Jussa na mwendesha kipindi ni Salma Said.

https://p.dw.com/p/43ygd