1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wengi wajitokeza licha ya hofu za ghasia

John Juma
8 Agosti 2017

Wakenya wengi wamejitokeza katika vituo mbalimbali vya kupiga kura kuchagua rais na viongozi wengine. Shughuli hiyo imeendelea vyema japo katika baadhi ya vituo kumekuwa na hitilafu na hivyo upigaji kura kuanza kuchelewa. Ushindani ni mkali kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga. Tazama vidio ujue mengi zaidi

https://p.dw.com/p/2hskV