1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya Uhuru Park

30 Januari 2018

Hivi ndivyo mambo yalivyo kwa sasa hivi katika uwanja wa Uhuru huko Nairobi, Kenya huku kukisubiriwa kuapishwa kwa kiongozi wa muungano wa upinzani NASA Raila Odinga na mwenzake Kalonzo Musyoka.

https://p.dw.com/p/2rkBg