Wake za marais wa Afrika: Nguvu nyuma ya nguvu | Mada zote | DW | 13.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wake za marais wa Afrika: Nguvu nyuma ya nguvu

Ingawa hawakuchaguliwa, bado wanao ushawishi mkubwa katika maamuzi. Baadhi ya wake za marais hata wanasemekana kuwa na ndoto za kuwa marais wenyewe. Wafuatao ni baadhi yao.