1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakazi wa Ulaya walivyochoshwa na vizuizi vya COVID-19

Daniel Gakuba1 Aprili 2021

Ulaya bado kunakabiliwa na maambukizi ya virusi vya corona kwa kiasi kikubwa na mataifa yanaendelea kupambana kuhakikisha wanakabiliana na maambukizi zaidi kwa kuanzisha vizuizi vipya kila wakati kunapoonekana maambukizi yanaongezeka. Hata hivyo wakazi wa eneo hilo sasa wanasema wamechoshwa na vizuizi hivi. Ungependa kusikia zaidi? Ungana na Daniel Gakuba kwenye makala hii ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3rTr7