1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakaazi wa Masaki Dar es Salaam wataka usalama uimarishwe

21 Juni 2019

Baadhi ya wakaazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kutaka usalama uimarishwe katika eneo hilo, na tahadhari iliyotolewa na ubalozi wa Marekani kuhusu kitisho cha shambulizi la kigaidi, ichukuliwe kwa uzito unaostahiki.

https://p.dw.com/p/3Kr54