Wajumbe wa UN watembelea Beni, DRC | Matukio ya Afrika | DW | 14.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Wajumbe wa UN watembelea Beni, DRC

Wawakilishi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakiongozwa na balozi wa Angola kwenye baraza hilo, wamekutana na wanasiasa mjini Beni, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kujadili hali ya usalama.

Sikiliza sauti 02:39

Ripoti ya John Kanyunyu kutoka Beni

Ujumbe huo ulikutana kwa mazungumzo na gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini pamoja na Meya wa Beni, mkuu wa wilaya ya Beni, kamanda wa jeshi la Serikali katika eneo la mashariki mwa DRC, pamoja na makamanda wa polisi katika mji na wilaya ya Beni. Ujumbe huo ulikutana pia kwa mazungumzo na wajumbe wa mashirika ya kiraia waBeni. 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada