Wajue marais wa Zamani wa Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Wajue marais wa Zamani wa Tanzania

Huku Taifa la Tanzania likisubiri kwa hamu na ghamu kujua ni nani atakayekuwa Rais wao wa awamu ya tano, Caro Robi anatupia macho Marais wa zamani wa Tanzania, kipindi walichohudumu na misingi waliyosimamia.

Sikiliza sauti 05:10

Wasifu wa marais wa zamani wa Tanzania

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com