1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wajerumani wakumbuka mwaka mmoja wa mashambulizi ya Berlin

Mohammed Khelef
19 Desemba 2017

Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, achaguliwa kuongoza chama tawala cha ANC na hivyo kujisafishia njia ya kumrithi Rais Jacob Zuma, Rais Donald Trump atangaza mkakati wake wa kijeshi, kiusalama na kimaendeleo anaouita "Marekani Kwanza", na Ujerumani, kunafanyika kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu mashambulizi kwenye Soko la Krismasi la Berlin.

https://p.dw.com/p/2peOD