1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waislam wa Tanzania washerehekea Eid-el-Adha

21 Julai 2021

Waislamu nchini Tanzania wanasherehekea sikuukuu ya Eid Al Adha ambayo itaendelea kwa siku tatu. Sala ya Iddi leo imefuatiwa na kuchinja wanyama, ambapo nyama baadae hutolewa kwa jamii marafiki na wasiojiweza.

https://p.dw.com/p/3xmr8