1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waingereza wauaga mwili wa Malkia Elisabeth II

12 Septemba 2022

Mwili wa Malkia Elizabeth II, utasafirishwa kutoka mojawapo ya makasri yake yaliyoko Scotland hadi kanisa la kihistoria la Giles mjini Edinburgh. Maelfu ya waombolezaji watoa heshima zao za mwisho.

https://p.dw.com/p/4GjXP