Wahanga wa uhalifu wa Ntaganda kulipwa fidia | Media Center | DW | 09.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wahanga wa uhalifu wa Ntaganda kulipwa fidia

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC imepitisha kiasi cha Dola milioni 30 kama fidia kwa wahanga wapatao 100,000 wa aliyekuwa mbabe wa kivita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean Bosco Ntaganda. Fedha hizo zitachangiwa na nchi wanachama, kwa sababu Ntaganda mwenyewe hana mali ya kuigharimia fidia hiyo. Ajwang Agina, ni mwanasheria kutoka Kenya anachambua uamuzi huo.

Sikiliza sauti 03:19