Wahamiaji wa kiafrika walioko Israel wapinga kurejeshwa nyumbani | Media Center | DW | 07.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wahamiaji wa kiafrika walioko Israel wapinga kurejeshwa nyumbani

Nchini Israel wahamiaji wa Kiafrika wanachagua kufungwa jela badala ya kufukuzwa kutoka nchini humo, kufuatia mpango wa serikali wa kuwarejesha nyumbani wahamiaji walioingia kwa njia haramu. Papo kwa Papo 07.02.2018.

Tazama vidio 01:04
Sasa moja kwa moja
dakika (0)