Wahadhiri na wanafunzi wa chuo kikuu cha Roma wagoma | Habari za Ulimwengu | DW | 16.01.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wahadhiri na wanafunzi wa chuo kikuu cha Roma wagoma

ROMA:

Baba Mtakatifu Benedict amefuta ziara yake katika chuo kikuu cha Roma kufuatia maandamano ya waalimu na wanafunzi wa chuo hicho.Badala yake Baba Mtakatifu atatuma hutoba yake kwa chuo kikuu cha La Sapienza.Hakukutolewa sababu ya kufutwa kwa ziara hiyo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com