1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wagombea zaidi wachukua fomu za urais Tanzania

7 Agosti 2020

Joto la uchaguzi nchini Tanzania linazidi kupanda ambapo hadi sasa vyama vya siasa 7 kati ya vyama 13 vimechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi wa Oktoba 2020.

https://p.dw.com/p/3gdHt