1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wagombea wenza wa urais wana umuhimu gani nchini Kenya?

16 Mei 2022

Jumatatu ilikuwa siku ya mwisho kwa wagombea wa urais nchini Kenya kutangaza wagombea wenza wao na tayari wagombea hao wenza wametajwa. Swali kuu ni je, kuelekea mbele kwenye mchakato wa uchaguzi, zoezi hilo la kuwachagua wagombea wenza lina uzito gani kisiasa? Martin Oloo, mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Kenya, anatoa mwangaza kuhusu suala hili.

https://p.dw.com/p/4BNNn