1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wagombea urais wapiga kura Kenya

9 Agosti 2022

Maelfu ya wakenya wamefika vituoni kupiga kura kumchagua rais wa tano. Ulinzi umeimarishwa kote nchini humo huku maafisa usalama laki moja na nusu wakipiga doria kuzuwia uwezekano wowote wa machafuko.

https://p.dw.com/p/4FJf6